sifa za banda bora la kuku
Banda bora la kuku linatakiwa kuwa na sifa nnzuri ambazo zita kuzaidia kuku ondolea hasara zitokanazo na wisi wa kuku, kuku kuliwa na wanyama wa porini na zina punguza milipuko ya magonjwa kama kuhara, minyoo na kipindupindu cha kuku.
Sifa za banda lakuku.
Liwe ni jengo lililo imara.
Jengo imara kwa ajili ya ufugaji linatakiwa liwe limezibwa sehemu zote zilizopo wazi kenye msingi, ukutani, na kwenye paa
Vifaa vinavyo takiwa kutumika ni vile ambavyo vinapatikana katika mazingira unayo ishi. Vifaa kama mbao, kama vitakuwa karibu na sehemu unayoishi vitakuwa rahisi sana na vitakupunguzia gharama na utakuwa na uwezo wakumudu.
Jengo imara linatakiwa liwe rahisi kufanyiwa usafi.
Kuta na sakavu vinatakiwa vizibwe ili kurahisisha kusafishwa na kuzuiya wadudu kama chawa viroboto na utitiri kujivicha uko.
Sakavu inatakiwa iwena matandizo kama pumba ya mpunga na maranda ili kuvyonza unyevu nyevu unaopatikana kwenye banda na kuondoa harufu na wadudu kama inzi.
Eneo la nnje kusunguka banda kuwe na usafi wa kudumu.
Nnje ya banda lakuku kukiwa kuchavu kuna sababidha wadudu kama siafu, mbwa wa porini na paka ambao wata kuaribia kuku wako.
Nnje ya banda kunatakiwa kuwe kusafi na kuna takiwa kuwe na miti midogo midogo na mimea midogo kwa ajili ya kivulijh
Hakuna maoni: