chakula cha ngo’mbe wa maziwa
Ngo’mbe wa maziwa pamoja na kula majani kama chakula pia wanahitaji chakula chakuwachanganyia ambacho kina kuwa na madini na virutubisho kwaajili ya kuimarisha mivupa na kwa ajili ya kujenga afya.
Chakula wanachotumia ngo’mbe wa maziwa kinaweza kikatumika pia kwa mbuzi wa maziwa mfano wa chakula maalumu cha ngombe wa maziwa ni kama hiki utakacho jivunza leo kupitia makala hii.
chakula cha kuwachanganyia ngombe wa maziwa.
Pumba ya mahindi kilo 73kg, Mashudu ya alizeti kilo 20kg, limestone kilo 5kg, ngo’mbemix kilo 1 1/2kg, na chumvi iliyosagwa 1/2kg.
Nfugu hicho ndicho chakula kinacho takiwa kitumike kwa ng’mbe wa maziwa pamoja na mbuzi wa maziwa. Chakula hiki kinatakiwa kitumike mara baada ya ngo’mbe wako kutoka malishoni au mara baada ya kuwapa majani na muda mzuri wakuwapa chakula hiki ni mida ta jioni.
Hakuna maoni: