njia rahisi ya kuweka kumbukumbu katika uzalishaji wa kuku
Kuna njia mbili ambazo unaweza kutumia katika uwekaji wa kumbukumbu nazo nii.
Njia ya kwanza ni kuweka kumbukumbu ya vitu vinavyo onekana
mfano wa kumbu kumbu zinazo onekana ni vifo, uzito, na afya. Ndugu mpenzi katika uwekaji wa kumbukumbu zinazo onekana kuna ambazo utaweka za siku , wiki , nwezi na kuendelea mfano uzito kama kuku wako ni wanyama unaeza ukaweka kumbukumbu za kila wiki.
Kumbukumbu nyingine ni kama idadi ya wanyama, tarehe ya kutoa chanjo, matibabu na kumbukumbu za chakula.
Kumbukumbu za kifedha.
Kumbukumbu za kifedha nikama mauzo na manunuzi ya kila siku, kila wiki na hata kila mwezi au vyovyote vile utakavyo kuwa umepangilia. Mauzo na manunuzi huainishwa ilikujua faida na hasara ya ufugaji kwahiyo kitu cha maana katika ufugaji wa kuku ni kuweka kumbukumbu kama hutoweka kumbukumbu hutajua kama unapata faida au hasara. Ndugu mpenzi kwa leo naishia hapa tukutane tena kesho kwa makalaingine ya ufugaji bora ni mimi mwandishi na mtaalamu wa kilimo na mifugo ndugu
Hakuna maoni: