JINSI YA KUJENGE BANDA LA KUKU
Kabla ya jenga banda kuna mambo muhimu ambayo mfungaji unatakiwa tayari
uwe umeshayaju hata kabla ya kuchukua maamuzi ya kujenga banda.
AINA YA KUKU UNAOTAKA KUFUGA
Ninaposema aina ya kuku unaotaka kufuga na maana ujue kama unataka kufuga aina gani
MFUMO WA KUFUGIA
Hapa pia ni muhimu kwa sababu kila mfumo unaendana na aina,idadi na lengo la kufuga
- aina ya kuku unaotaka kufuga
- mfumo wa kufugia
- idadi ya kuku unaotaka kufuga
- lengo la kufuga
AINA YA KUKU UNAOTAKA KUFUGA
Ninaposema aina ya kuku unaotaka kufuga na maana ujue kama unataka kufuga aina gani
- kuku wa nyama/ broiler
- kuku wa mayai/ layer
- kuku wa kienyeji/ local
MFUMO WA KUFUGIA
Hapa pia ni muhimu kwa sababu kila mfumo unaendana na aina,idadi na lengo la kufuga
extensive-hapa katika mfumo huu kuku wanakiua wanazurura wenyewe kutafuta chakula2
intensive-katika mfumo huu kuku wanakuandani hawatoki kwenda kujitafutia chakula
semi intesive-katika mfumo huu kuku wanakua huru lakini kunakizuizi ili wasiweze kwenda mbali
japo kua kila mfumo unazo faida pamoja na hasara zake.,
haya twende sasa jinsi ya kutengeneza banda bora
kabla ya vyote ili banda liwe bora inatengemea na sehemu ambayo inajengwapia
Msingi,msingi wa banda bora lazima uwe umejengwa vizuri sana.., yani hakuna ufaufa ambayo inaweza kusababisha banda kubomoka.
Ukuta,ukuta inashauliwa ujengwe kwa matofari na pia kwa ndani lazima ukuta upingwe lipu ili kuzuia wadudu pamoja na bakteria kunata ukutani.,lipu ni muhimu sana kwa sababu bila kupiga lipu wadudu kama tandu,buibui,ng'nge na wengine wana weza kuwadhuru kuku wako
Sakafu,banda la kaku lazima lisakafiwe na zenge sio simenti.sakafia zege vizuri alafu unatakiwa kuweka maranda kama 5cm kutoka usawa wa zege ili kusaidia katika usafi na pia inasaidia kuku kutopata majeraha miguuni
napia lazima banda liwekewe bati jipya ambalo alina kutu wala matobo ili kuzuia wadudu pamoja na maji kuingia bandani
madilisha,lazima uangalie upepo unapo elekea ndipo ujenge banda.,madilisha haya takiwi kupitisha upepo kwa sababu yataleta vumbi pamoja na bakiteria wengine.lakini madilisha lazima yawe makubwa sana ili kuwezesha hewa pamoja ya kutosha kuingia na kutoka nje ya banda
na lazima banda liwe na sehem ya kulia pamoja na drinker zakutosha ili kuku wasilundikane sehem moja.
pia lazima banda liwe na chanzo cha mwanga wakati wa usiku
footbath,hiki ni kidibwi kidogo kinacho wekwa mlangoni na kazi yake ni kuweka maji yalio changanywa na antibitik kila anae ingia ndani ya banda lazima aweke miguu yake humol ili kuepusha kuingiza magonjwa bandani
picha uzionazo apo juu ni mifano tu ya baazi ya mabanda bora ya ufugaj

- sehemu ambayo kunaupatikanaji wa maji
- sehem ambayo kunaupatikanaji wa umeme
- sehemu ambayo barabara ni nzuri inasaidia hata wateja kufika kiurahisi hata pia unapotaka kuleta chakula kiweze kufika kiurahisi
- sehem ambayo kunausalama wa kutosha..,
- sehem ambayo haiina upepo mkali sana

Hakuna maoni: