FAHAMU KIUNDANI KUHUSIANA NA UGONJWA WA HOMA YA MATUMBO(FOWL TYPHOID)

Habari za wakati huu mpenzi msomaji na mfuatiliaji wa blog hii ya ufugaji kwa maendeleo. leo naomba tujifunze kuhusiana na ugonjwa wa ndege uitwao HOMA YA MATUMBO(FOWL TYPHOID)

Hili ni gonjwa linalo wapata kuku wa aina zote,bata na kanga
  DALILI
Kuku mkubwa;
-kupoteza hamu ya kula
-kupunguza kutaga
-manyoya hutimka,kushusha mbawa na kuzubaa
-kupauka kwa upanga na masikio sababu ya kupungua kwa damu
vifaranga
-kinyesi cha rangi ya njano na huganda sehem ya kutolea haja
-kupumua kwa shida
-kuanguliwa vikiwa dhahifu na kushindwa kutembea

 TIBA/KINGA
Hutibiwa kwa kutumia dawa za antibotic na huondo dalili zilizo tajwa na kupunguza vifo.Mfano CTC,OTC20%,SALIFONAMIDIES kamaTYPHOPRIM
Dawa hizo huwekwa kwenye maji siku 5-7
chAKULA SIKU 10
-Kuondoa wagonjwa sugu
-usafi wa mazingira kwa kutumia vitu atilifu kama formalin
-angamiza mizoga
                           Image result for HOMA YA MATUMBO KWA KUKU
                           mfano wa ini lililo athiliwa na homa ya tumbo(fowl typhoid)

Hakuna maoni:

CHANGE LANGUAGE

Inaendeshwa na Blogger.