SOMA NA TAZAMA VIDEO HII KUONA NA KUJUA DALILI ZA KUKU ANAPO KARIBIA KUTAGA




Ndugu mfugaji ni matumaini yangu u mzima wa afya.

Tazama video hiyo hapo juu kutambua baadhi ya dalili za kuku anae karibia kutaga.


KUKU HUPUNGUZA KUTAGA WAKATI WA BARIDI:

Mara nyingi kuku hupunguza kutaga wakati wa baridi, na sababu kubwa ni kuwa kuku hutumia nguvu nyingi sana kujikinga na baridi na hivyo hushindwa kutaga.  Energy nyingi huelekezwa kwenye kujikinga na baridi, na kiasi kidogo sana huenda kutengeneza yai na mwili kwa ujumla. Hapo ndipo hutokea hali ya kuku kupunguza  kutaga hasa wakati wa baridi.



JINSI YA KUDHIBITI:

Mpe kuku chakula cha ziada, yaani kile kiwango ulichokuwa una mpatia wakati usio wa baridi basi ongeza, una weze punguza ukubwa wa madarisha hapo kuku atataga pamoja na kuwepo baridi.

_Ila kumbuka hii ni kuku kupunguza kutaga wakati wa baridi ila pia kuku anaweza punguza kutaga kwasababu ya magonjwa.



Hivyo wapatie kuku wako matunzo bora




Kama unahitaji majogoo bora kwaajili ya mbegu au nyama, yalio pewa matunzo mazuri na yenye afya. Wasiliana na hizo namba hapo chini kwenye picha


Hakuna maoni:

CHANGE LANGUAGE

Inaendeshwa na Blogger.