Ukosefu Wa Vitamn A kwa kuku




UKOSEFU WA VITAMIN A KWA KUKU

• Ukosefu wa vitamini‘A’ Hujitokeza baada ya kuku kukosa
vyakula vyenye vitamin ‘A’ kwa muda mrefu.
– Kuku wadogo huathirika zaidi kwa ukosefu wa vitamini
‘A’.
Dalili za ukosefu wa vitamini ‘A’
• Macho huvimba na kutoa uchafu mzito kama sabuni
ya mche iliyolowana maji.
• Hudhoofika na hatimaye hufa.
Tiba na Kinga.
• Hakuna tiba mara ugonjwa ukianza kujitokeza.
• Kinga ugonjwa huu kwa kuwapa majani mabichi au
mchicha wakati wa kiangazi.
• Wape kuku vitamini za kuku za dukani wakati majani
hayapatikani

Kuku Wagonjwa wasafishe na maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi kisha wape OTC 20% pamoja na vitamn.

Hakuna maoni:

CHANGE LANGUAGE

Inaendeshwa na Blogger.