MAGONJWA YA KUKU, DALILI, CHANJO NA TIBA




Leo napenda nikuonyeshe baadhi ya magonjwa ambayo huwapata kuku mara kwa mara , dalili, chanjo na tiba.
hivyo kua nami ili kupata elimu hiyo
UTANGULIZI 
Magonjwa husababishwa na vitu vifuato
virusibacteriaprotozoaupungufu wa viini lishe MDONDO/NEW CASTLE 
Huu ni ugonjwa ambao unaweza kuwapata kuku wadogo na wakubwa na pia husababishwa na virusi
DALILI
Kuku kuacha kulakuharishakutoa machozikutoa kamasikupumua kwa shidawengine upooza kuzungusha kichwa na kutembea kinyumenyumeTIBA NA KINGA
Ugonjwa huu hauna tiba ila unaweza kukinga kwa kumpa chanjo kila baada ya miezi mitatuGUMBORO
Ni ugonjwa ambao unasababishwa na virusi pia , virusi usambazwa kutoka kwa kuku alie athilika kupitia kinyesi
DALILI
Dalili huanza kuonekana kuanzia wiki ya 6 hadi 18kuku uharisha majimajimaambukizi yanaweza kufikia 100%TIBA
Pia ugonjwa huu hauna tiba ila kuku anatakiwa kupewa chanjo ya gumboro siku ya 14
NDUI YA KUKU/FOWL POX
Pia ugonjwa huu husababishwa na virusi ba uhasiri sana vifaranga  wanaokua na hujitokeza zaidi wakati wa mvua
DALILI
Kuku hua na vipele kama nundu kichwani
pia kuku huzoofika
hupoteza hamu ya kula
CHANJO NA TIBA
Chanjo itolewe kabla ya msimu wa mvua kubwa kuanza'
dawa za kuua vimelea kama joto ya vidonda  hupunguza makali ya vidonda
KOKSIDIOSIS
Ni ugonjwa wa vimelea na uhathiri sana kuku wakiwa na umri mdogo  kuanzia umri wa wiki 1
DALILI
Kuku kudhoofikamanyoya huvulugikakuku kuzubaaakinyesi hua kahawia hau kujaa damukuku kua kama amevaa kotiKINGA NA TIBA
Kokisidiosis hutibiwa kwa dawa maalum kama  AMPROLLIUM au SULFAdawa huzuia kuitokeza kwa ugonjwa pindi inapo tumika ipasavyo.MINYOO
Minyoo siku zote hukaa tumboni  na inamadhala kama yafuatayo
kupunguza kutagakuharishakupoteza uzitoTIBA
Unaweza kuwatibu kwa kutumia dawa kama vile PIPERAZINE  
VIROBOTO UTITILI
Viroboto hukaa katika sehemu tofauti mbali mbali za mwili hasa ushambuli sehemu za kichwa 
TIBA NA KINGA
Tumia dawa za kuua wadudu kama AKHERI POWDER au SEVIN DUST  wamwagie kuku pamoja na maeneo wanayo ishi
pia unaweza kutumia PROMECTIN - ORAL 100ML
1.5cc in 1 litre 

Hakuna maoni:

CHANGE LANGUAGE

Inaendeshwa na Blogger.