Ufugaji Kuku Una Manufaa Kwa Jamii





Ufugaji kuku kibiashara una manufaa makubwa sana, kwa mfugaji mwenye lengo la ufugaji unaweza Fuga kuku na ukaona ndio kama ajira yako. Kwakuwa utakuwa ukipata mahitaji yote muhimu na kutimiza malengo yako. Ufugaji kuku wenye tija ni muhimu uwapatie kuku wako matunzo bora , tazama video hiyo kufahamu jinsi ufugaji kuku kibiashara uliyo na manufaa.

Faida Za Kuku Wa Asili

(1).  Ni chanzo cha kipato
(2).  Nyama ya kuku ni protein tosha
(3).   Kinyesi cha kuku ni mbolea
(4).   Maganda na manyoya ni  mapambo
(5). Niwavumilivu wa magonjwa
(6). Wana wigo mpana kibiashara

Mahitaji Muhimu Kwa Ufugaji Kuku Wa Asili.🌀

(1)   Banda bora
(2)   Mahali pakupata huduma na ushauri
(3)   Mahali pakupata mbegu bora

Banda La Kuku Wa Asili🌀

(a)  Nyumba iwe mahali penye Kivuli

(b)   Paa liwe Refu kuruhusu kuingia mtu mzima
(c)    Nyumba iwe na uwezo wa kupitisha hewa
(d)   Mlango uangalie Kaskazini kupingana na jua
(e)    Iwe na mlango madhubuti na kufuli kudhibiti vibaka.

🎯Ndani Ya Nyumba Ya Kuku Kuweje?

(1)Vichanja vya kulala kuku wakati wa usiku
(2)Viota vya kutagia na kuatamia
(3) Weka bembee ndani ya nyumba ya kuku
(4)Dawa za huduma ya kwanza

Aina Za Nyumba Ya Kuku🎯

(1)   Nyumba ya tope
(2)   Nyumba ya matofali ya udongo au kuchoma
(3)   Nyumba ya kuinuliwa.

Muhimu👉👉✅Kibanda cha kuku wagonjwa na wageni katika banda.

Hakuna maoni:

CHANGE LANGUAGE

Inaendeshwa na Blogger.