JINSI YA KUJENGA BANDA BORA LA KUKU


Kabla ya jenga banda kuna mambo muhimu ambayo mfungaji unatakiwa tayari uwe umeshayaju hata kabla ya kuchukua maamuzi ya kujenga banda.
  • aina ya kuku unaotaka kufuga
  • mfumo wa kufugia 
  • idadi ya kuku unaotaka kufuga 
  • lengo la kufuga 

                      AINA YA KUKU UNAOTAKA KUFUGA
 Ninaposema aina ya kuku unaotaka kufuga na maana ujue kama unataka kufuga aina gani
  1. kuku wa nyama/ broiler 
  2. kuku wa mayai/ layer 
  3. kuku wa kienyeji/ local
kwa sababu kila aina ya kuku inamaitaji yake mfano ukitaka kufuga layer lazima uandae na kutengeneza sehem ya kutagia


                      MFUMO WA KUFUGIA
Hapa pia ni muhimu kwa sababu kila mfumo unaendana na aina,idadi na lengo la kufuga
      
 extensive-hapa katika mfumo huu kuku wanakiua wanazurura wenyewe kutafuta chakula2
intensive-katika mfumo huu kuku wanakuandani hawatoki kwenda kujitafutia chakula

semi intesive-katika mfumo huu kuku wanakua huru lakini kunakizuizi ili wasiweze kwenda mbali

japo kua kila mfumo unazo faida pamoja na hasara zake.,

haya twende sasa jinsi ya  kutengeneza banda bora

kabla ya vyote ili banda liwe bora inatengemea na sehemu ambayo inajengwapia
  • sehemu ambayo kunaupatikanaji wa maji 
  • sehem ambayo kunaupatikanaji wa umeme
  • sehemu ambayo barabara ni nzuri inasaidia hata wateja kufika kiurahisi hata pia unapotaka kuleta chakula kiweze kufika kiurahisi
  • sehem ambayo kunausalama wa kutosha..,
  • sehem ambayo haiina upepo mkali sana
                       BANDA BORA
     Msingi,msingi wa banda bora lazima uwe umejengwa vizuri sana.., yani hakuna ufaufa ambayo inaweza kusababisha banda kubomoka.

    Ukuta,ukuta inashauliwa ujengwe kwa matofari na pia kwa ndani lazima ukuta upingwe lipu ili kuzuia wadudu pamoja na bakteria kunata ukutani.,lipu ni muhimu sana kwa sababu bila kupiga lipu wadudu kama tandu,buibui,ng'nge na wengine wana weza kuwadhuru kuku wako

   Sakafu,banda la kaku lazima lisakafiwe na zenge sio simenti.sakafia zege vizuri alafu unatakiwa kuweka maranda kama 5cm kutoka usawa wa zege ili kusaidia katika usafi na pia inasaidia kuku kutopata majeraha miguuni

   napia lazima banda liwekewe bati jipya ambalo alina kutu wala matobo ili kuzuia wadudu pamoja na maji kuingia bandani

   madilisha,lazima uangalie upepo unapo elekea ndipo ujenge banda.,madilisha haya takiwi  kupitisha upepo kwa sababu yataleta vumbi pamoja na bakiteria wengine.lakini madilisha lazima yawe makubwa sana ili kuwezesha hewa pamoja ya kutosha kuingia na kutoka nje ya banda

na lazima banda liwe na sehem ya kulia pamoja na drinker zakutosha ili kuku wasilundikane sehem moja.

pia lazima banda liwe na chanzo cha mwanga wakati wa usiku

footbath,hiki ni kidibwi kidogo kinacho wekwa mlangoni na kazi yake ni kuweka maji yalio changanywa na antibitik kila anae ingia ndani ya banda lazima aweke miguu yake humol ili kuepusha kuingiza magonjwa bandani

hiyo juu ni mifano ya mabanda bora na unaweza kuangalia 

Hakuna maoni:

CHANGE LANGUAGE

Inaendeshwa na Blogger.